7 day tweet volume :
Tabia 5 zinazoumiza FIGO zako

1. Kutokunywa maji 🥛ya kutosha
2. Kupenda chumvi nyingi kwenye chakula
3. Sigara/tumbaku/shisha 🚬
4. Ulevi wa pombe 🍺
5. Kutumia dawa za kutuliza maumivu aina ya aspirin mara kwa mara 💊

#FridayFeeling pic.twitter.com/eHxcZaECNv
The difficult people in your life can be your greatest teacher. Be grateful for the lesson they’re teaching you; those who push your buttons, annoy you with their antics give you the greatest chance for personal growth. Remember, you don’t grow when it’s all comfortable & good.
Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo ya ndiyo bwana mkubwa,vijana wasio waoga👇🏻👇🏻 pic.twitter.com/khwrJhkHDy
 • Tabia 5 zinazoumiza FIGO zako 1. Kutokunywa maji 🥛ya kutosha 2. Kupenda chumvi nyingi kwenye chakula 3. Sigara/tumbaku/shisha 🚬 4. Ulevi wa pombe 🍺 5. Kutumia dawa za kutuliza maumivu aina ya aspirin mara kwa mara 💊 #FridayFeeling
  @NormanJonasMD
 • Ndugu zangu undugu ni kufaana, support yenu @LusakoWaKwanza @MarekaMalili @issa_255 @_chipe_01 @bob_mchelsea @KennedyMmari @officielsalome @Aisha_bint_soud @zeyner__ @siimasoud @TitoMagoti @WalleLulu @queenveejack @Maryftaddoh @nikkwapili @lilian_Mollel_ na,wengine naombeni jamq
  @MwankhooS
 • Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo ya ndiyo bwana mkubwa,vijana wasio waoga👇🏻👇🏻
  @kigogo2014
 • Tunakulaagaa
  @masoudkipanya
 • Dear Twitter Family, We deal with all Dreadlocks Services. Our prices are friendly, our services are satisfaction guaranteed. Karibuni sana.
  @Steve_Irie
 • Two new facts about the European Champions League. Mbwana Samatta, playing for KRC Genk Belgium, is the first Tanzanian ever to play in a Champions League match, and secondly also the first Tanzanian to score in this league. Hongera sana #Tanzania. @Samagoal77_ @ChampionsLeague
  @PeterVanAcker2
 • 🤔🤔🤔
  @kigogo2014
 • Guess what...... Made it on today’s “The Citizen newspaper” I’m so honored to have done that interview with ‘em! Don’t forget to grab yourself a copy today. Good morning beautiful people 💋
  @nellysa___
 • "Natamani kama vijana wangejua kwamba ndani yao tayari wanao uwezo wa kubadili soko la ajira na kuwatengenezea watu wanaokuja maisha mema yanayotakiwa"-Veronica Sarungi - Mhadhiri - Chuo Kikuu cha Aga Khan. @MwananchiNews
  @RadioOneStereo
 • Treni ya kwanza yenye mabehewa 22 na tani 1,100 za mahindi yaliyouzwa na Serikali ya Tanzania kwa Serikali ya Zimbabwe imeondoka leo saa 11.30 jioni kuelekea Harare. Mzigo zaidi utaendelea kusafirishwa.
  @TZMsemajiMkuu
 • 📸 Waziri wa mambo ya nje mstaafu, @BernardMembe (wa pili kulia) akifurahia jambo na @zittokabwe (kushoto), Naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu na Mbunge wa Mtama @Nnauye_Nape walipokutana wakati wa kuuaga mwili wa mwandishi wa habari Godfrey Dilunga Dar es Salaam.
  @Nipashetz
 • Hili ni tatizo kubwa sana. Mfanyakazi wa Takukuru, Polisi, TISS anakwendwa Benki na kuomba mwenendo ya akaunti ya mtu. Halafu ndio anaanza kupanga kosa. This is not INVESTIGATION ni CORRUPTION.
  @fatma_karume
 • Viongozi wanne waandamizi wa Chadema mkoa Kilimanjaro, akiwemo Mbunge Viti Maalum, Lucy Owenya, wametiwa mbaroni muda huu kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.#MwananchiUpdates
  @MwananchiNews
 • 😁😁😁😁 haya bwana. Kumbe ugomvi uko mpaka huko. Malizeni vita moja kwanza. Zikiwa nyingi hivi ngumu kushinda zote
  @kigogo2014
 • Mtanzania @GIVENALITY ametajwa miongoni mwa wabunifu 30 wa Afrika 2019 wanaoongoza kuleta mabadiliko. Given ameunda @MtabeApp inayojibu maswali ya wanafunzi bila wao kuhitaji intaneti. Wanafunzi wanatuma maswali kupitia namba maalum, & watapatiwa majibu yaliyohakikiwa na waalimu.
  @swahilitimes
 • TULIKOTOKA: Gazeti la 'TAZAMA', Na. 32 Toleo la Kwanza, Oktoba 1994 - 'Nyerere amwangukia Seif Sharif Hamad' - Agundua kuwa alipikiwa majungu na fitna za bure - Akamfukuza kiongozi shupavu na kubaki wenye uchu - Ndipo amemwita na kuomba wayasahau yote yaliyopita
  @IsmailJussa
 • Mwimbaji mwenye ulemavu wa macho na Tawahudi (Autism), @Kodileerocks ameibuka mshindi wa Msimu wa 14 wa Shindano la America's Got Talent, na kutwaa TZS 2.3 bilioni ($1m). Kwaya ya Vijana Ndlovu kutoka Afrika Kusini iliyotinga fainali ilitolewa mapema.
  @swahilitimes
 • Simba karudi nyumbani. Enjoy @diamondplatnumz The Tanzania Largest National Park #RuahaNatinalPark
  @MsigwaGerson
 • It’s a beautiful morning in Dar. The tide is high and there is a slight mist on the Zanzibar Channel. I am wearing an Ethiopian neckpiece gifted by @MariaSTsehai and feeling blessed. What can possibly go wrong? 👿 Everything. It’s BONGO! 🤣🤣 Good morning.
  @fatma_karume
 • MODEL/DOCTOR: The two lives of Sarafina Wasley (@nellysa___). Full article bit.ly/2mjmxfY #ModelDoctorNellysa
  @TheCitizenTZ
 • Kwa kadri matumizi ya gas yanavyoongezeka majumbani ni muhimu kuongeza elimu ya matumizi ya gasi, Kampuni zinazo sambaza gasi zinawajibu ( CSR) kuelimisha jamii kuhusu bidhaa hii.. gasi ni salama kama kuna uelewa wa matumizi ya iki ni pamoja na kutambua uchakavu wa vifaa
  @lifeofmshaba
 • Utawala uliopo umewaangusha Watanzania na umeyafanya maisha yao kuwa magumu zaidi kuliko hata ilivyokuwa 2015. @ACTWazalendo tumedhamiria kuleta Mabadiliko kwa kukupa Mbadala Makini na Halisi kuanzia kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. UNGANA NASI KWA KUTUCHANGIA!
  @SeifSharifHamad
 • Maadili hayajengwi vyuoni yanaanzia nyumbani, wazazi tuendelee na wajibu wa kuwapa maadili kwa kushirikiana na walimu. #JukwaaLaFikra #ElimuNaAjira #MwananchiForum
  @zahratunda