7 day tweet volume :
Clouds Tv ni chombo cha habari kilichopoteza muelekeo. Zama za kujipendekeza zimepitwa na wakati. Viongozi wa chadema mnatuogopa ndio maana kamwee hamwezi kutohoji. Mnaita watu wa kutukana chadema, shame on you! @CloudsMediaLive
Clouds Tv inajaribu kusafisha tuhuma za ujambazi, utekaji, uporaji na matumizi mabaya ya madaraka ya Mtu anayeitwa Sabaya. Huyu hata hana nidhamu kwa Mkuu wake wa mkoa. Huyu anayeweka watu ndani hovyo hovyo ndiye anapewa airtime kubwa. Aibu kwenu Clouds TV MNAMASILAHI GANI?
Ukipata nafasi ya kujieleze elezea mazuri yako na sio mapungufu yako
kwa sababu mapungufu yako utayaskia tu kwa watu hata usipoyasema!
The situation around my home is still tense. Dozens of soldiers are surrounding my home, checking every vehicle that comes in or goes out. All this to suppress the citizens' voices as the emperor crowns himself for a 6th term! In this I am confident- WE SHALL OVERCOME pic.twitter.com/IDiTfEIoEz
+3
 • The situation around my home is still tense. Dozens of soldiers are surrounding my home, checking every vehicle that comes in or goes out. All this to suppress the citizens' voices as the emperor crowns himself for a 6th term! In this I am confident- WE SHALL OVERCOME
  @HEBobiwine
 • Muda wa kurudi kwenye michuano ya kimataifa #TotalCAFCL #NguvuMoja
  @SimbaSCTanzania
 • Osha koki ili usishike wadudu bacteria baada ya kunawa. #AfyaYanguNiMikonoYangu
  @masoudkipanya
 • Tujenge Tabia ya kuungishana Sisi Kwa sisi mfano ukila dagaa una Mwambia na Mwenzako kwamba kuna Dagaa watam wanauzea packet @2000 anapiga simu 0755874191,kisha tuna mwambia Dagaa wamekaangwa na tunapatikana kigamboni Nyerere bridge au sio mzee wa kamati @bajabiri
  @kisikisir
 • Borrowing money paying back
  @Davidchibike
 • Mmoja Ni Afisa Mahusiano wa @CloudsMediaLive na mwingine ni mtangazaji wote ni CCM na wanahost vipindi vya kuishughulikia @ChademaTz sijui wataweza!? 😂😂😂
  @John_Pambalu
 • Je, Wajua? Tarehe 13 Julai 2017, waongoza watalii katika eneo la Ndutu, magharibi mwa Ngorongoro na kusini mwa Serengeti, walimshuhudia Simba jike akimnyonyesha mwana wa Chui. Kisa hiki kilikuwa cha ajabu sana, cha kipekee sana na cha aina yake kuwahi kushuhudiwa ulimwenguni.
  @ElimikaWikiendi
 • No internet, No Netflix, but a week with you First @..... Deal or no deal?
  @Mohnice_
 • Duniani kuna wapishi; halafu, kuna Fadhy Mtanga.
  @FadhyMtanga
 • Kama una thamini na kuheshimu mambo mazuri yaliyofanywa na Magufuli katika nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuomba kwa heshima na tahadhima wacha mara moja kutumia neno "Mwenda zake" bali ni vema ukatumia neno "Hayati".
  @bestantony1
 • Nimeshiriki iftari na Wazee, Wajane na Watoto Yatima katika jimbo letu la Bububu. Nimezungumza na kuwahakikishia umuhimu wa kukutana mara kwa mara na makundi haya maalum katika jamii zetu kuwafariji, kuwasikiliza na kutatua changamoto wanazopitia.
  @MudrickSoraga
 • เห้ยมุงก็ 🥲
  @dubelepz
 • Pertinent words from Frantz Fanon. #FreePalestine #SheikhJarrah #savesheikhjarrah
  @redfishstream
 • Askari wao hawezi kupiga risasi 16, akipiga risasi 3 akakosa anawajibika!
  @SweetbutKanana
 • Follow us through as we explore how #JoehSolutionsTZ are helping #SMEs transform the way of keeping track and record their finances through #Digital enabled ways and maximize their Profits. #ImpactTechTZ #TechChangeChampions Watch the full interview | youtu.be/V2znuxxTGRU
  @MediaConvergecy
 • Elisha explains that one of his friends who ran a Mama Ntilie business was facing the challenge of tracking her finances from expenses to income. ~ When he offered his help he came to realize that there was a need and he started working on it. #ImpactTechTZ #JoehSolutionsTZ
  @MediaConvergecy
 • Many #SMEs find it difficult to track their finances due to the fact that they uses more of traditional ways than #Digital ways. ~ Grab a copy of the @TheCitizenTZ Newspaper tomorrow Tuesday 11th May for the featured article and more highlights. #ImpactTechTZ #JoehSolutionsTZ
  @MediaConvergecy
 • หากดรีมเส้นที่ปั่นยูทูปไม่รู้จะฟังเพลงอะไรคั่น ตอนนี้ jopping 99M และ 90's love 92M อยู่คับ ;-;
  @g_eneglaer
 • Maziwa Bora kabisa ya ng'ombe Maziwa Mtindi ~Lita 3 - 10000 ~Lita 5 - 14000 Maziwa Fresh ~Lita 3 - 9000 ~Lita 5 - 12000 Maziwa ni mazuri mazito yana cream yake safi kabisa Delivery tunafanya ndani ya DSM kwa gharama nafuu Mawasiliano 0623374863. #AggyDairy #Nipedili
  @agnes_prudence
 • Chukua hii, Suffocation/Strangulation/Breaking Windpipe. SIO KUNYONYA DAMU. Hiyo ni moja na mbinu inayotumiwa na baadhi ya wawindaji(predators)kumuua mnyama(prey) baada ya kumkamata. Predators wana mbinu tofauti za kuua mnyama. Mbinu hii hutumiwa zaidi na Predators kama👇🏿
  @IssaKalenge
 • บ้ายบายบ้านเสือ สุดยอดมากกับตระกูลนี้🥺💖🌷✨🤟🏻 หนึ่งปีเต็มๆๆ ตอนแรกไม่ได้คิดว่าจะมาเป็นเซ็ต(´༎ຶོρ༎ຶོ`) รักพวกแก พี่เต้อ ไทเก้อ จากั้ว พามู่ ชีต้า เบิ้บบู
  @commentcava6
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more