7 day tweet volume :
Dunia itambue kwamba tupo tayari kwa ujenzi wa Bandari ya kisasa ya Mangapwani itakayokuwa na Bandari ya Uvuvi, Chelezo, Majengo ya utawala, eneo la viwanda, eneo la mji wa Mkaazi, eneo la Maghala pamoja na mpango wa kuiboresha Bandari ya Malindi.
Mie sijali kama Mama ni CCM damu, sijui Mzenji, Sijui Dini gani, cha msingi ni dhamira na nia yake njema kulinda tunu zetu za taifa ikiwemo Umoja, Uhuru na Amani, pamoja na kujenga uchumi wa nchi na Mwananchi mmoja mmoja.
Nitamuunga mkono kwa kuchapa Kazi na kulipa kodi.
Keep going even when you find the road ahead long & challenging. Keep going when you feel it’s a bad day & you want to give up. Keep going when you feel your patience running out. Keep going because the Almighty knows your struggles. If only you knew the rewards waiting for you.
Kuna wadada wamewaona ma boyfriend zao kwenye mkutano wa wazee na maza😂😂
 • ''Katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, mtanzania mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua katoka chama kipi yule katoka chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa watanzania'' - @SuluhuSamia #RaisSamiaNaWazeeDar
  @eastafricatv
 • Miezi 5 imepita @TumeUchaguziTZ haijajibu barua niliyowaandikia kutaka watuambie ni nani aliyewasilisha orodha ya majina NEC, ni nani aliyesaini sehemu ya Katibu Mkuu kwenye fomu na. 8D za #Wasaliti19 waliofukuzwa @ChademaTz na kutoa nakala ya nyaraka tajwa.
  @jjmnyika
 • #NewProfilePic
  @ClatousCC
 • Shughuli zote zitasimama kupisha mechi ya timu inayowakilisha nchi kimataifa na inayoongoza msimamo wa #VPL dhidi timu ambayo inashiriki mashindano ya ndani pekee na kushika nafasi ya pili ya msimamo wa #VPL #KariakooDerby ni kesho jumamosi, nunua tiketi haraka 😬 #NguvuMoja
  @SimbaSCTanzania
 • Usiku huu @tanpol wilaya Karatu wamevamia ofisi ya Chadema na kuamuru kusitishwa kwa maandalizi ya kikao cha ndani kinachotarajiwa kufanyika kesho Mei 08, 2021 na mgeni rasmi akiwa @John_Pambalu Mwenyekiti wa @bavicha_taifa. Tunaendelea kufuatia, tutawajuza kinachoendelea.
  @bavicha_taifa
 • Narudia kuwapongeza @bavicha_taifa chini ya uongozi wa @John_Pambalu Kazi mnayofanya ya kukusanya data za wafungwa wa kisiasa na kuendelea kusimamia demokrasia ni muhimu! Msirudi nyuma na kumbukeni haki haiombwi! Mungu awasimamie wapwa, msichoke 👏🏽 #TutaelewanaTu
  @MariaSTsehai
 • TWITTER SPACES [ UZI ] Tunapoongelea Twitter Spaces (Kwa kifupi Spaces), tunaongelea mazungumzo ya mtandaoni ya moja kwa moja ambayo hutumia sauti tu bila video wala maandishi. Wahusika katika spaces wanaweza kuwa wasikilizaji au wazungumzaji. #ElimikaWikiendi
  @TOTTechs
 • Watanzania na wapenda haki bila kujali itikadi zenu kuna haja yakumfunga speed governor Spika. Hawezi kuchezea katiba tunamwangalia Kesho atapatikana muhuni kuliko yeye atafanya kuliko Huyu.... -- Askofu Bagonza #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania #JobDoYourJob #LindaKatiba
  @lifeofmshaba
 • #ComicStory HAPO ZAMANI ZA KALE. Hapo zamani za kale, kulikuwa na WENYE nchi na WAGENI. Hawa WAGENI bwana waliwataabisha WENYE nchi haswaa. 1/9 #HapoZamaniZaKale (fungua picha zina ujumbe zaidi)
  @kingomagazine
 • Juzi Job alisema Katiba haijampa MUDA wakutimiza wajib wakuondesha kina Halima Bungeni. Ushauri wangu kwake ni huu: akumbuke akisema Bungeni anaongea na WaTZ wote. Akasome s. 62 ya Interpretation of Laws Act inayomtaka atimize wajib wake “with all convenient speed”. Asituchezee!
  @fatma_karume
 • Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imezindua safari za ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou nchini China. Safari hiyo ambayo itatumia muda wa saa 11, inakuwa safari pekee ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou.
  @swahilitimes
 • Jamaa kabadilika kutoka JK mpaka Magufuli PERFECTLY 👌🏼😂 💯
  @GIVENALITY
 • Tujifunze kusamehe pasi na kuombwa msamaha, haipunguzi uzito wa kosa ila inaleta amani ya moyo! Ramadan Kareem 🙏🏾💯
  @mumuhkay2
 • Inspired by swahili bagharashea & tiger patterns, @azamfc Away Kit 2021/22 concept. | This team was est 2007, but the fastness of their dvpts is just like tiger. | @AzamTanzania
  @thisistemidayo
 • Inspired by 'Timu ya Wananchi' a @yangasc1935 Home Kit 2021/22 concept design. | #DesignedbyTemi
  @thisistemidayo
 • 𝐌𝐩𝐲𝐚-𝐌𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐡𝐮𝐮 𝐰𝐚 𝐒𝐢𝐤𝐮𝐤𝐮𝐮 Ndugu Wazazi/walezi au wenye interaction na watoto bas tumefungua mzigo mpya kwa bei nafuu unapata nguo ya mtt wako.. Location:Sinza Kumekucha Cont:0655052222 Nisaidie ku RT iwafikie wengi zaidi "𝐘𝐨𝐮𝐫𝐊𝐢𝐝,𝐎𝐮𝐫 𝐒𝐭𝐲𝐥𝐞"
  @CollectionToto
 • Tukutane kesho kuanzia saa 3:00 mpaka 3:30 ndani ya @ElimikaWikiendi In Sha Allah. Tupeane brief na DO and DON'T kuhusu usaili kwa ujumla. #ElimikaWikiendi
  @Abbymexahnk
 • MATAGA mpo? Niliwaambiaje? #TutaelewanaTu Si mnaona tushaanza kuelewana? Tulisema HAIEPUKIKI kila mtu ataingia laini! #VaaBarakoa @SuluhuSamia - usivue tena hadi janga hili tulishinde. Pia ongoza watanzania katika CHANJO! #WeAreInThisTogether #TunatakaChanjo #ChangeTanzania
  @MariaSTsehai
 • Safari ya Guangzhou itakuwa ni ya muda wa masaa kumi na moja tu. Ni safari pekee ya moja kwa moja kutoka Dar. #AirTanzaniaToChina #AirTanzaniaFlightsToGuangzhou
  @AirTanzania
 • FAHAMU KUHUSU 𝐅𝐄𝐋𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐈 Huyu Jamaa Kwenye Picha, New Tweeps Wengi Wanajua Huyo Ndo #SanukaNaChapo @Chapo255 😹 Anyway ngoja tuwasogezee huu Uzi. Jamaa jina lake Anaitwa FELA KUTI ikiwa ni kifupisho cha jina lake la kuzaliwa (Olufela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti).
  @FordMussa
 • Jirani
  @masoudkipanya
 • Hapendi kuona unawini hapendi kuona una furaha/ Raha yake kuona umezungukwa na karaha/ Hana raha/ Anapoona mambo safi kiuchumi/ Moyo utakuwa shwari tu pale una hali duni/ - MACHONI KAMA WATU ©️2003 ↔️ ffm.to/aytanzania
  @AyTanzania
 • Yaliyojiri wakati Mhe. Rais Samia alipozungumza na Wazee Mkoani Dar es Salaam. #KaziIendelee
  @MsigwaGerson
 • WanaJangwani RT hapa, Simba lazima wakae leo.
  @funjojr
 • Ulimi
  @masoudkipanya
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more