7 day tweet volume :
Kama vile ambavyo huwezi kuzuia mwanga unaouwasha wewe kumulikia na wengine, huwezi pia kuzuia mwanga unaouwasha kuumiza macho wengine. Ndivyo ilivyo pia kwenye kuionyesha furaha yako hadharani, wako utakaowaambukiza furaha, na wako utakaowapa hasira na maumivu.
Ungana nami kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. @SuluhuSamia akiwasili nchini Uganda leo. pic.twitter.com/an2bjA3JAL
+2
Wazaliwa wa kwanza ni lango la baraka katika familia.
Mungu awalinde na kuwabariki siku zote.
KUHUSU UHURU WA MAHAKAMA

Prof. Mussa Assad anasema
"Unategemea nini ikiwa mtu anatoa pesa kwa Jaji mkuu huku akisema nawapa pesa hizi hakikisheni maamuzi ya Mahakama zenu yanazalisha pesa nyingine,

Kutakuwa na maamuzi ya haki hapo?" pic.twitter.com/hNE6JTpBJU
 • Ungana nami kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. @SuluhuSamia akiwasili nchini Uganda leo.
  @KagutaMuseveni
 • KUHUSU UHURU WA MAHAKAMA Prof. Mussa Assad anasema "Unategemea nini ikiwa mtu anatoa pesa kwa Jaji mkuu huku akisema nawapa pesa hizi hakikisheni maamuzi ya Mahakama zenu yanazalisha pesa nyingine, Kutakuwa na maamuzi ya haki hapo?"
  @darmpya_
 • Rais kamatch hijab yake na viatu. She looks lovely. 👏👏👏
  @fatma_karume
 • "Niliomba nyaraka za ununuzi wa nddge, reli ya SGR na bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason ili niweze kuzikagua , lakini Mkuu wa nchi wa wakati huo (John Pombe Magufuli) alikataza kuzitoa akaanza kunitafutia sababu ya kuniondoa ofisini"-Prof. Assad
  @KumbushoDawson
 • Unapokuwa na uhakika na robo fainali ya #TotalCAFCL 🙌 Unadhani wengine wana uhakika na nini? 😂 #NguvuMoja
  @SimbaSCTanzania
 • "Utawala wa Hayati Magufuli haukuwa na dira ama maono ya nini hasa alikusudia kukifanya na mengi Aliyoyafanya hayakuwa hasa na nia njema kwa Nchi hii" Prof Mussa Assad, CAG mstaafu
  @darmpya_
 • Kuna Viongozi nilifanya nao kazi katika chuo kikuu cha Dar es salaam , walikuwa wanaheshimika sana kwa fikra zao, lakini baadaye wakapa madaraka yakawabadilisha kifikra, na kuwa fikra zisizo na maadili ( Corruption of Mind) - Prof Assad #ChangeTanzania
  @ChangeTanzania
 • Mmewahi kusikia kuhusu fedha za plea bargain ( Kwa DPP kutokana na watuhumiwa kukili makosa) , Nimesikia hizo pesa zinakwenda kwenye account kubwa binafsi, nasubiria kuona ukaguzi wa 2020/2021 utuonyesha hizo pesa zilikuwa zinakwenda wapi - Prof Assad #ChangeTanzania
  @ChangeTanzania
 • TAARIFA Nje ya gereza la Ruanda muda huu na Mh. @John_Pambalu baada ya kumuona Mdude, ujumbe wa Mdude kwenu "sikumkosoa Magufuli kwasababu ya sura yake Ila nililinda Katiba SIOGOPI" Sasa tunaelekea Gereza la Songwe kuwaona MAKAMANDA 43, wezesha 0746777845 voda TWAHA MWAIPAYA.
  @Twaha_Mwaipaya
 • Kuna eneo la jeshi ambalo lilikuwa pale kwa sababu za ulinzi, lakini baadaye limebadilishwa na kuwa la makazi ya watu, lakini ukiuliza ni mchakato gani ulifanyika upati majibu sahihi, tunatakiwa kuwa na utamaduni wa kuhoji na kuwa na mfumo wa kutoa majibu kwa mambo - Prof Assad
  @ChangeTanzania
 • "Hayati Magufuli atakumbukwa kwa mengi. Mabaya na mazuri. Katika mukhtadha wa Utawala na Uongozi wa nchi, nayajua mambo mawili tu ambayo nadiriki kusema pasipo shaka ni mambo mawili mazuri tunayoweza kumkumbuka kwayo.
  @ChademaTz
 • SHERIA inamuamuru DPP kuhakikisha he doesn’t abuse legal process na anatenda HAKI. Naomba kumuuliza Biswalo: Ukishampiga mtu na money laundering halafu unakwenda Mahakamani kwa miaka 3 unasema kesi haiwezi kuendelea kwa sababu ushahidi haujakamilika, unatenda HAKI?
  @fatma_karume
 • Ukisikia ...Ng'ombe hazeeki maini ndo hii sasa. Jay Jay Okocha🙌🙌
  @franklin_tissa
 • An incredible view of Mt. Ol Doinyo Lengai and Lake Empakaai, Tanzania. 😍
  @zoomafrika1
 • “Mwaka 2018 nikiwa Gerezani Segerea, TRA waliandika barua kwangu kwamba Kampuni yangu moja inadaiwa kodi ya Bilion 2 kitu ambacho sio Kweli wakafunga akaunti zangu, Juzi pengine baada ya kauli za Mama Samia, TRA wameniandikia kuwa tumeondoa zuio la akaunti zako, tunafungua”-MBOWE
  @millardayo
 • SIKU AMBAYO AFRIKA KUSINI ILIBAKIZA HATUA MOJA KUINGIA DIMBWI LA DAMU. "Lala ngoxolo m'konto"✊🏿 Ni Jay-z? Hapana, ni Chris Hani. Mtu aliyesemwa kuwa mrithi wa Mandela, alitaka kuiingiza nchi hiyo katika vita ya rangi isiyo wahi kushuhudiwa kabla! Ilikuwa ni siku ya #Nõ1 👇🏿👇🏿
  @OscarMwaisoloka
 • Unamfukuza kazi Assad Kwa kutumia Weledi na taaluma yake. Kisha unamteua Kichere ili akafanye yale unayoyapenda mwisho Wa siku Kichere naye anamwaga Mchele, Shujaaa bana.
  @MhangaTalanta
 • Uwezi nunua ndege kwa cash haiwezekani, ni watu wajinga sana ndio ununua ndege kwa cash - Prof Assad #ChangeTanzania
  @ChangeTanzania
 • A brief conversation with H.E @SuluhuSamia , the President of the United Republic of Tanzania at State House Entebbe before the official signing ceremonies commenced.
  @KagutaMuseveni
 • Ni kipindi ambacho kimkakati, tulilishwa propaganda za kutukuza mtu na tukazibomoa taasisi zetu na kuzigeuza kuwa wakala wa kumpamba Rais.Bila aibu, baadhi ya viongozi waandamizi wakafika hatua ya kumlinganisha Rais Magufuli na Mungu!! Laana hii, isingeweza kuliacha Taifa salama!
  @ChademaTz
 • Msichana (10) mkazi wa Mtaa wa Rwazi kata ya Kahororo, Bukoba amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa, taarifa za Madaktari zinasema alibakwa na kisha kuuawa, DC wa Bukoba Deodatus Kinawilo amewaagiza Polisi kuanza uchunguzi———> “Wahuni wote kamata tutajuana kulekule Polisi”
  @millardayo
 • Kama unaweza, tafadhali tuma sadaka, Mungu akubariki. Kindly Rt.
  @funjojr
 • Tupate mapumziko mafupi 🙄🙄🙄 Mbowe is right 👉🏽 “CCM ni ileileee” System overhaul is necessary! #ChangeTanzania #TutaelewanaTu
  @MariaSTsehai
 • Simba SC itapangiwa mojawapo ya timu hizi tatu ktk Robo Fainali CAFCL: • CR Belouizdad 🇩🇿 • MC Alger 🇩🇿 • Kaizer Chiefs 🇿🇦 Nani ungependa akutane na Mnyama?
  @shaffihdauda1
 • "Utawala au Serikali ni mhimili mkuu wenye wajibu wa kuwezesha kirasilimali mihimili mingine. Mihimili yote yapaswa kujitegemea katika utendaji wake. Yote huongozwa na Katiba, Sheria na kanuni. Mhimili huu ukiyumba ni hatari ya haraka na ya moja kwa moja kwa Taifa." Mhe. Mbowe
  @ChademaTz
 • Our former suspended page @pichazasimu is back. Let’s celebrate 🤳🕺🏾🍾We urge you to shift back to the former account.
  @pichazasimutz
Free access is provided to the 8 hour timeframe for this page.

A Trendsmap Explore subscription provides full access to all available timeframes

Find out more