Analyse @phlycmd's tweets
"2003 baba nae akafa baada ya mama kufariki 2002....shule nikawa nimeaha,nikawa nachunga ng'ombe ili nipate hela za kujiaidia ila haikutosha, nikaangukia kwenye kudokoa vitu vya watu mtaani ili nipate hela" Huyu ni Kelvin yupo Chanika Orphanage Center
#BeMyHero
#KuwaShujaaWangu https://t.co/cVl70xyOtN
#BeMyHero
#KuwaShujaaWangu https://t.co/cVl70xyOtN