Analyse @IsmailJussa's tweets
@IsmailJussa
| 132,708 followers
Ni aibu na fedheha kwa Msajili wa Vyema vya Siasa, mtu aliyefikia nafasi ya Jaji wa Mahkama Kuu kuandaa Mswada unaokandamiza haki na kutaka kurudisha nyuma hatua zote zilizopigwa katika uwanja wa demokrasia tokea 1992. Kila raia anapaswa kupaza sauti kutetea #UhuruWaKufanyaSiasa. https://t.co/jVO4K8kYBY