Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Habari #Tanzania! Mashirika @humanrightstz & @Twaweza_NiSisi yanakukaribisha katika "Maadhimisho ya Miaka 70 ya Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu", ukumbi wa British Council, Posta, Dar. Kwa wasiofika ipo mubashara kupitia @kwanza_tv! #ChangeNiSisi #DemokrasiaYetu https://t.co/hLcDDL5OTi