Analyse @Kiganyi_'s tweets
@Kiganyi_
| 387,405 followers
Tarehe 10 Desemba 1948, Umoja wa Mataifa uliridhia tamko la haki za binadamu ambalo kwa miaka yote limekuwa muongozo kwa nchi wanachama kote duniani, na kwa hivyo tarehe 10 Desemba mwaka 2018, dunia inaadhimisha kutimia kwa miaka 70 ya tamko hilo.
#ChangeNiSisi
#SimamiaHaki https://t.co/9WvOxAkQys
#ChangeNiSisi
#SimamiaHaki https://t.co/9WvOxAkQys