Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
Gavana BoT: Hatuhitaji maduka ya fedha 100 Dar es salaam, tuna benki za kutosha hapa. Tatizo letu sasa hivi wafanyabiashara wanabeba fedha kwenye mabegi kwenda kulipia bidhaa, wanakuwa wamevunja sheria za hapa nchini na sheria za huko wanakokwenda.
#MagufuliNaTRA
#MagufuliNaTRA