Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Rais Magufuli ameiagiza TRA na Wizara ya Fedha kutoza kodi ya nyumba ya TZS 10,000 kwa nyumba za kawaida, TZS 20,000 kwa nyumba za ghorofa zilizopo wilayani na vijijini na 50,000 kwa nyumba kubwa. Na utozaji huo uzingatie hati ya kiwanja na sio idadi ya nyumba kwenye kiwanja. https://t.co/FsPoqDyVOR