Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
"Mazingira ya kufanyia biashara nchini bado ni tatizo. Usafirishaji, utitiri wa taasisi za usimamizi, ucheleweshaji bandarini, tatizo la umeme, kutumia muda mrefu kupata vibali vya biashara. Pia tumekuwa hatufanyi vizuri katika kuvutia wawekezaji."- Rais Dkt Magufuli https://t.co/yTJrViwZyC