Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi wa ACT Wazalendo, @AdoShaibu amefungua kesi Mahakama Kuu kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt Adelardus Kilangi. Katiba inataka mwanasheria mkuu awe na sifa ya kuwa wakili kwa miaka 15 mfululizo, sharti ambalo limekiukwa. https://t.co/hz5kk45Xqv