Analyse @kwanza_tv's tweets
@kwanza_tv
| 108,216 followers
Chama cha Wafanyakazi wa Migodini Tanzania (NUMET) kimesema kama Serikali itaendelea kutosikiliza malalamiko yao juu ya fao la kujitoa, upotevu wa ajira na kikokotoo kipya cha malipo ya pensheni, watakwenda mahakamani ili sheria na kanuni mpya zilizopitishwa zifutwe #KwanzaHabari https://t.co/t5nEELV0oJ