Analyse @MarekaMalili's tweets
@MarekaMalili
| 615,808 followers
Naomba utumie dakika 1 kuangalia video hii.
Inagusa sana, hasa ukizingatia ni jamii ndio inamfanyia ukatili mtoto huyu.
Ana ndoto, hajachelewa, tumshike mkono.
Ukiguswa basi fika maduka ya smart hub China Plaza, Samora& MCity Kuchangia Chanika Children Shelter.
#KuwaShujaaWangu https://t.co/ayWKzVs1H5