Analyse @miss_mshangama's tweets
@miss_mshangama
| 22,073 followers
Ukiwa mvivu wa kuitafuta pesa na kupenda stareh, lakini hujui kuitunza pesa unakuwa mtumwa wa starehe na pesa.
Unaweza kuwa tayari kufanya jambo lolote la hovyo au unalojua linaweza kuleta madhara baadaye, lakini shida yako ni kupata pesa.
#KaziNaBata https://t.co/IxB05bTq1Y
Unaweza kuwa tayari kufanya jambo lolote la hovyo au unalojua linaweza kuleta madhara baadaye, lakini shida yako ni kupata pesa.
#KaziNaBata https://t.co/IxB05bTq1Y