Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Wakati Rais kama @KagutaMuseveni na uimla wake anakutana na wapinzani namna hii, Rais @MagufuliJP hathubutu. Wakati Rais @PaulKagame anaachia huru wapinzani na wakosoaji wake, Rais wetu anatuma salaam kuwa tutaishia gerezani. Kweli sisi tunakuwa wa kuona haya Uganda? Mungu Baba https://t.co/rc2XzGLiq2