Analyse @bongofive's tweets
@bongofive
| 460,783 followers
#Bongo5Updates: Shabiki akibebwa katika machela na kuwahishwa nje ya uwanja ili kupatiwa huduma ya kwanzaa, shabiki huyu aliyetoka upande wa jukwaa la Simba amejikuta akiwa kwenye hali hiyo baada tu ya Meddie Kagere kupachika bao la kuongoza kwa upande wa Simba https://t.co/1WjfBGwSsj