Analyse @tundu_lissu's tweets
@tundu_lissu
| 23,339 followers
Lugola acha kudanganya umma huyo askari wenu mlevi aliyemuua kijana bila hatia ndani ya kituo mmemhamishia wilayani Longido hivyo @tanpol na Waziri mnatekeleza maagizo ya boss wenu Magufuli ya kuua na kupandishwa cheo..