Analyse @JMakamba's tweets
@JMakamba
| 1,206,132 followers
Rims za magari/bodaboda zilizoharibika. Hizi zinatengenezwa na “cast iron” (chuma dongo). Hapa nchini hakuna kiwanda cha kuyeyusha chuma cha aina hii. Kutokana na ongezeko kubwa la bodaboda, taka hizi zinaongezeka. Mwezi Machi kontena 150 za chuma hiki zimepelekwa nje kuyeyushwa. https://t.co/ruHOOcpG9C