Analyse @bavicha_taifa's tweets
@bavicha_taifa
| 140,967 followers
#Mahakamani
Wakili Kibatala: Nakuuliza kwa mara ya saba kwa uzoefu wako wa miaka 20, ushawahi kushuhudia mtu anauawa eneo la wazi kama Kawawa (barabara ya Kawawa) na hakuna mtu yeyote aliyepelekwa mahkamani?
Shahidi: Sijawahi kushuhudia. https://t.co/my8oRAh78z