Analyse @Esnan_Dental's tweets
@Esnan_Dental
| 118 followers
Kinywa kikavu. Mate husaidia katika kusafisha kinywa. Kinywa kikiwa kikavu kwa asili au kwa sababu ya ugonjwa fulani, harufu mbaya hujitokeza. #afyakwawote https://t.co/Tk2NkBEk3g