Analyse @Kwanza_TV's tweets
@Kwanza_TV
| 108,216 followers
Serikali ya Tanzania imelizuia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuchapisha ripoti inayoangazia hali ya uchumi na sera za kubadili fedha za kigeni. Tanzania imetumia kura yake ya veto kuzuia uchapishwaji wa ripoti inayohusu uchumi ambayo huandaliwa na IMF. #KwanzaHabari https://t.co/q19a4AFF2u