Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Chanjo ya pepopunda humkinga mjamzito pamoja na mtoto atakayemzaa. Kinga ndani ya mwili wa mjamzito humpa kinga mtoto dhidi ya pepopunda ya utoto uchanga (siku 0-30 za mwanzo). #JiongezeTuwavusheSalama https://t.co/A3yyeFKnEC