Analyse @SuluhuSamia's tweets
@SuluhuSamia
| 1,520,434 followers
Nilimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @MagufuliJP kwenye shuhuli ya kuaga Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe kwenye Uwanja wa Taifa wa Michezo Jijini Harare Zimbabwe. https://t.co/qlXaYWIi9f