Analyse @MsigwaGerson's tweets
@MsigwaGerson
| 781,041 followers
#TUELEWANE
• Baada ya Serikali kujenga gati maalum la kupakua na kupakia magari (RO-RO Berth) Meli kubwa ya kwanza yenye uwezo wa kubeba magari 6,000 yatia nanga kwa mara ya 1 na kushusha magari 1,300.
• Gati lina uwezo wa kupokea magari 10,000 kwa wakati mmoja.
#HapaKaziTu https://t.co/v9AWGdqvT7