Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Ripoti ya Utafiti unaobainisha changamoto zinazosababisha wasichana kukatiza masomo na kushindwa kuendelea na ngazo moja ya elimu hadi kuelekea ngazi nyingine ya juu imezinduliwa rasmi na sasa inapatikana kupitia link hii https://t.co/Jo2Dkqmclm https://t.co/jKk7xuJGat