Analyse @MwananchiNews's tweets
@MwananchiNews
| 1,026,317 followers
Viongozi wanne waandamizi wa Chadema mkoa Kilimanjaro, akiwemo Mbunge Viti Maalum, Lucy Owenya, wametiwa mbaroni muda huu kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.#MwananchiUpdates https://t.co/G3EbpKCxy6