Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha DSM, Dr. Mugisha akiwasilisha matokeo ya utafiti ya sababu zinazopelekea wasichana kukatisha masomo na kushindwa kuendelea ngazi nyingine ambapo ametaja sababu za mazingira anayokulia binti, mazingira ya kujifunzia na kufundishia na mitazamo yao https://t.co/SuKq3Oakyg