Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Mwanafunzi wa karne ya 21 ana matarijio tofauti kabisa na yule wa mwaka 92, je mifumo yetu, je walimu wetu wameandaliwa kukabiliana na mazingira ya sasa ! Wasichana wa sasa role models wao ni tofauti kabisa na wazamani je tunaangalia vipi uhalisia huu katika kuleta mabadiliko https://t.co/4PjKzGADeH