Analyse @OleMtetezi's tweets
@OleMtetezi
| 352,751 followers
Mimi Ni Mmoja Wa Watu Tuliokua Na 'Mashaka' Juu Ya Taarifa Ya Mzee Jiwe Kuwa Mahututi, Lakini Kwanzia Nione Tweets Za Mawaziri Kwamba Sijui Tuwe Na Ubinadamu Mara Oohh Tusiombeane Mabaya, Nimeamini Rasmi Kwamba Taarifa Hizo Ni Ukweli Mtupu Wala Sioni Haja Ya Msigwa Kutoa Taarifa!