Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
“Amenipigia simu kunitaarifu kwamba yuko safari kwenda Uingereza kufanyiwa vipimo na baadaye kukamilisha mipango mingine. Namuombea Mungu amfanyie wepesi katika hatua aliyofikia ili atimize ndoto zake za kucheza Ligi Kuu ya England.” - Ally Pazi Samatta (babaye Mbwana Samatta) https://t.co/hV9ZNk2uKS