Analyse @azamtvtz's tweets
"Ulikuja kama kijana wa kawaida, lakini sasa unaondoka kwa heshima kupitia lango kuu ukiwa kama gwiji. Tunalia kwakuwa unatuacha lakini tunajivuna kwakuwa umekuwa nasi kwa kipindi cha miaka minne" - Mashabiki wa @KRCGenkofficial wanasema "ASANTE" kwa @samagoal77 @avfcofficial https://t.co/m0ThFX5LUO