Analyse @MSalimu's tweets
@MSalimu
| 69,354 followers
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Kwa mujibu wa jamii nyingi, ndoa ni chimbuko la familia na jamii kwa ujumla #Elimikawikiendi https://t.co/g8JEsLFDWp