Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Maradhi yasiyoambukiza kama kisukari, kupanda kwa shinikizo la damu (high blood pressure), kiharusi (stroke) & saratani yanaweza kuepukika kwa kuwa na mtindo bora wa maisha unaotia ndani mazoezi. Kuwa na rafiki atakayekutia moyo kufanya mazoezi. #ElimikaWikiendi https://t.co/JoVLvysqsk