Analyse @earadiofm's tweets
@earadiofm
| 1,227,363 followers
#FAHAMU Mama mmoja kutoka California Marekani Jeanine Delsky (43), amefunga safari mpaka nchini Nigeria nyumbani kwa wazazi wa kijana Sulaiman Babayero (23) kwaajili ya kufunga naye ndoa. Wawili hao wameanza mahusiano yao mwaka mmoja uliopita baada ya kukutana Instagram. https://t.co/Fncduxnjkt