Analyse @MSalimu's tweets
@MSalimu
| 69,354 followers
Kuna mtu humu aliwahi kuniuliza, kumbe una watoto 3? Naona unawaposti zaidi hawa makubwa wawili! Ni kweli, kwa sababu, Salman alizaliwa akiwa na miezi 8 na hakuwa na afya njema hasa katika mfumo wake wa upumuaji. Kwangu mimi na wanangu imekuwa ni safari ndefu yenye mafunzo mengi https://t.co/U9o5A88Uj1