Analyse @MsichanaUwezo's tweets
@MsichanaUwezo
| 13,571 followers
Leo ni siku ya hedhi salama duniani, Msichana Initiative tunaungana na wadau wengine kuhamasisha upunguzwaji wa bei za vifaa vya kujistiri kwa wanawake na wasichana kwa sababu hedhi haisimamishwi na janga la ugonjwa wa korona.
#MHDay2020
#ItsTimeForAction
#PeriodsInPandemics https://t.co/Ql6mhh8v4L
#MHDay2020
#ItsTimeForAction
#PeriodsInPandemics https://t.co/Ql6mhh8v4L