Analyse @DevothaE's tweets
@DevothaE
| 80,541 followers
Naomba tujuzane, wewe mkoani kwako wasichana wanatumia kifaa gani wakati wa hedhi (wakiwa siku zao) mfano wapo wanaotumia vipande vya kanga , jani la mgomba au kigunzi , lengo ni kujifunza nakujua jinsi gani tunaweza kutatua changamoto hii #NasomaKwanza #MHDay2020 https://t.co/cR4l87thbm