Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Wizara ya Elimu, Prof. Joyce Ndalichako imewaagiza wamiliki wa shule zote nchini kutodai ada ya kipindi ambacho wanafunzi hawakuhudhuria masomo kutokana mlipuko wa janga la corona uliopelekea serikali kufunga shule zote na wanafunzi kurejea majumbani. https://t.co/s3O6MUebQC