Analyse @earadiofm's tweets
@earadiofm
| 1,227,363 followers
"Tiba asilia ni suala la Kibiblia ukisoma Ezekiel 47:12 utaona, na mzee wangu Jafo wa nyungu anatumia majani na nataka kukuambia, ndani ya wiki 2 tutakuja na Jafo part 3 ambayo iko improved itakuwa na Wazungu na Watanzania wakipiga nyungu" -Dkt Mollel @wizara_afyatz
#Bungeni https://t.co/TisjEGwb2q
#Bungeni https://t.co/TisjEGwb2q