Analyse @ASRomaSwahili's tweets
@ASRomaSwahili
| 64,772 followers
Hospitali ya Aga Khan ?? mwanamke aligundulika kuwa na COVID-19 wakati anaelekea kujifungua. Ilibidi ajifungue kwa upasuaji na kutengenanishwa na mtoto wake kwanza ili apone. Hapa ni wahudumu wa Afya wakimshangilia akitoka ICU baada ya kupona. ❤️???
https://t.co/SP0p9dnx6R
https://t.co/SP0p9dnx6R