Analyse @BonfasiaMapunda's tweets
@BonfasiaMapunda
| 2,797 followers
Kesho tarehe 29 May ni siku ya hukumu ya kesi ya @zittokabwe sisi mawakili @BonfasiaMapunda @Advocate_Jebra @stephenallym @PKibatala tumejiandaa kupokea hukumu yoyote ambayo itatolewa Na mahakama Na baada ya hukumu kama kutakuwa Na hatua za kuchukua tutafanya hivyo mara moja. https://t.co/uguTtk52lM