Analyse @YahStoneTown's tweets
@YahStoneTown
| 29,937 followers
“Ninaamini kuwa na heshima na nidhamu na watu unaofanya nao kazi kwasababu wanaposaidia kazi yako ikawa kubwa hivyo wanakuwa sababu moja ya ukubwa wa kazi yako. Lakini kuna wengine wanakosea pale wanaposhindwa kuheshimu kazi kama kufika mahali kwa wakati.”- @MadeeSeneda https://t.co/DuJlXTqjgX