Analyse @YahStoneTown's tweets
@YahStoneTown
| 29,937 followers
“Nilikuwa ninafanya muziki wa rap sana lakini nilikuwa sipati kile wenzangu walichokuwa wakikipata. Mara unakaa unasikia mwenzako kanunua ndinga au kajenga lakini wewe hupati kitu, hiyo iliniumiza na ilinifanya nitake kuachana na muziki kipindi kile.”- @MadeeSeneda https://t.co/ofj5rh4Hau