Analyse @YahStoneTown's tweets
@YahStoneTown
| 29,937 followers
“Baba yangu alikuwa ni mwanamuziki anapiga guitar kwenye Western Jazz Band, Tabora Jazz Band lakini hakupata mafanikio kwenye muziki kwa mujibu wake yeye. Alipoona nahangaika na muziki hakupendelea hivyo nikakimbia nyumbani na kwenda sehemu ya kuendeleza muziki.”- @MadeeSeneda https://t.co/D1PLlcM8Zb