Analyse @YahStoneTown's tweets
@YahStoneTown
| 29,937 followers
“Tulikuwa tunapenda tuvae na tupendeze hata wadada wa mtaani watuone lakini bila hela huwezi kupendeza hivyo tunapata dili za usiku tunavizia mtu tunamkaba na kumpora cheni enzi hizo simu hazikuwepo sana, cheni ndio ilikuwa dili.”- @MadeeSeneda https://t.co/DRlRV0dPC5