Analyse @Hakingowi's tweets
@Hakingowi
| 443,082 followers
Rais Mstaafu , Dkt. @jmkikwete ateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Taasisi ya Nutrition International ya Nchini Canada inayoshughulika na kutokomeza upungufu wa virutubisho na madini katika nchi zinazoendelea. https://t.co/P0EXGzpXab