Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Hii ni taarifa kutoka Mkoani Morogoro juu ya 'Nabii' anaedaiwa kulala na Waumini wake kwa madai kwamba anawatakasa au kuwatoa mapepo, AyoTV imemhoji Mtoto aliepata ujauzito baada ya kulala na 'Nabii' huyo, bonyeza hapa kutazama habari yote >>> https://t.co/vtZwkkHvuy https://t.co/55OVckKz2V