Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
#ElimikaWikiendi | Mifupa Imara ni muhimu sana katika utendaji kazi wa mwili, kadri tunavyozeeka mifupa huweza kuwa dhaifu na kuvunjika kwa wepesi hasa wanawake waliofika ukomo wa hedhi
Njia rahisi za kuimarisha mifupa
1️⃣Mazoezi hasa mazoezi ya kujenga misuli (strength exercise) https://t.co/hn2fxoJmlk
Njia rahisi za kuimarisha mifupa
1️⃣Mazoezi hasa mazoezi ya kujenga misuli (strength exercise) https://t.co/hn2fxoJmlk