Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
Kuna mambo mengi muhimu kwa afya ya Ubongo mojawapo ni KUSOMA VITABU
?Tafiti zinaonyesha kusoma vitabu huimarisha uwezo wa ubongo kujifunza, kubuni kutafakari na kusisimua uwezo wa kutunza kumbukumbu
? Usomaji vitabu una faida Kwa rika zote watoto hadi wazee
#ElimikaWikiendi https://t.co/BanZILV7Ck